Monday, April 20, 2009

BWANA ROCKY ASHEREHEKEA SIKUKUU YA KUZALIWA NA MARAFIKI ZAKE

Mdau Godfrey Rocky (aliyevaa kofia) akiwa na mdau Aaron (aliyesimama) na rafiki yao katika kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa ya ndugu Rocky (17/4/2009)
Rocky akipongezwa
Wadau wa karibu wa Bwana Rocky wakipata chakula cha jioni kama wakati wa shughuli fupi ya kumpongeza Bwana Rocky